Ninacho weza kukusaidia

  • Kuongeza MAUZO katika biashara yako.
  • Kukufundisha ujuzi wa kidigital utakao kusaidia kuongeza mauzo kwenye  biashara yako mara saba zaidi (7x)
  • Kupata DOWNLINE wengi na kuongeza MAUZO  kwenye Biashara yako ya Network Marketing
  • Kutengeneza mifumo inayo saidia biashara yako kuwasiliana na wateja kwa njia rahisi zaidi
  • Kukupa MENTORSHIP, ili kufanikisha malengo uliyo yakusudia kwenye Biashara yako 
  • Furusa ya kujiunga na Timu yetu ya Network Marketing, amabapo utafundishwa Biashara hatua kwa hatua.
  • Huduma za Graphics Designing, Printing, Branding & Marketing 

Ongeza mauzo kwenye biashara yako Mara 7X Zaidi

Kuanzisha na kukuza biashara yako katika karine hii ya tenchnologia siyo bahati tena, bali ni mikakati mizuri inayopagwa na kutekelezwa na mfanya biashara. Tumia ujuzi wa kidigitali kukuza biashara yako

Unacho Hitaji Ili Kukuza Biashara Yako Leo?

Kufanya kazi kwa bidii pekee hakutoshi kuifanya biashara yako ikue.
Unaweza kutumia muda mwingi kutafuta wateja, kujibu maswali na kuwafuatilia, lakini bado ukaona biashara haisongi.
Tatizo mara nyingi si bidii yako, bali ni kukosa mfumo unaofanya kazi vizuri.
Unahitaji njia zinazokusaidia kupata wateja, kuwahudumia na kuendelea kuwasiliana nao bila wewe kufanya kila kitu.
Haya ndiyo mambo unayoweza kupata ili biashara yako iwe rahisi kuendesha na iweze kukua

Hustle Smarter

With Joctan Motoka

  • Hustle smarter ni kufanya kazi kwa akili, si kwa nguvu pekee.
  • Ni kutumia teknolojia, mitandao ya kijamii, AI na mbinu sahihi za biashara ili kuwafikia watu sahihi, kupata wateja zaidi na kukuza kipato bila kupoteza muda kwenye mambo yasiyo na matokeo.
  • Endesha biashara yako sasa kwa kutumia mfumo, utakao kusaidia kuwafikia watu sahii, na kuongeza mauzo kwenye bishara yako.
  • Anza kujifunza jinsi ya Hustle Smarter leo.

Usiendelee kupoteza fedha kwenye matangazo ya kulipia

Jifunze jinsi ya Kuongeza
Mauzo zaidi kwenye biashara yako, kwa Kutumia Mfumo wa Matangazo ya Kulipia mtandaoni
(Sponsored Meta Ads), kwa bajeti ndogo

Tengeneza kipato cha ziada, nje ya mshahara wako

Jifunze jinsi ya kutengeneza kipato nje ya mshahara wako bila kuacha kazi yako unayofanya  kwa sasa
Pakua free ebook hapa kujifunza zaidi

Mfumo wa kunasa Downline Kwenye Biashara ya Network Marketing

Kanuni za Kisasa za Kujenga Biashara ya
Network Marketing
  • Inayovutia Watu Sahihi,
  • Inayojenga Viongozi na
  • Inayokua Bila Kutegemea
    Bahati.

Fumbua Macho

Jinsi ya Kutengeneza Kipato nje ya Mshahara wako. Bila kuacha kazi unayoifanya kwa sasa

Maneno yanaweza kukuaza biashara yako au kuua bishara yako

Mbinu za Kuandika Ujumbe Unaovuta Umakini,
Unajenga Uaminifu na Kuwageuza Wasomaji
Kuwa Wateja

Mfumo wa Kunasa Wateja Mtandaoni

Kanuni za Kisasa za Kujenga Biashara ya
Network Marketing
  • Inayovutia Watu Sahihi,
  • Inayojenga Viongozi na
  • Inayokua Bila Kutegemea
    Bahati.

Usijichoshe kufanya kila kazi katika biashara yako, Tumia automation kukusaidia kufanya baadhi ya kazi

Wafanya Biashara wengi utumia muda mwingi sana, kufanya kazi na majukumu yanayo jirudia mara nyingi kama kufanya followup kwa wateja, au kutuma ujumbe kwa wateja wao wapya
Kazi ambazo kimsingi zingefanywa kupitia automation

Mfanyakazi anayetamaniwa na kila mfanya biashara

Jifunze jinsi ya kutengeneza kipato nje ya mshahara wako bila kuacha kazi yako unayofanya  kwa sasa
Pakua free ebook hapa kujifunza zaidi

Downlod na kusona miongozo yetu itakayo kusaidia, kuendesha na kukuza biashara yako, kwa kutimia mbinu sahii za kidigitali

Hapa utapa vitabu vyetu na  miongozi ambalimbali, itakayo kusaidia kubadilisha Biashara yako, kupitia ujuzi na maharifa sahii ya kidigitali.

Jifunze Kujenga, Kusimamia na Kukuza Biashara Yako ya Network Marketing kwa kutumia ujuzi wa kidigitali

Jifunze mbinu za kisasa za kidigitali zitakazokusaidia kupata downline wengi, kuongeza mauzo, na kujenga timu imara katika biashara yako ya Network Marketing

Soma Makala zetu zitakazo kupa maharifa na ujuzi wa kukuza Biashara yako Mtandaoni

Hapa utapata vitabu, makala na miongozo mbalimbali itakayokusaidia kukuza biashara yako kupitia maarifa sahihi ya kidijitali. Jifunze namna ya kupata wateja wapya, kuongeza mauzo, kutangaza bidhaa na huduma zako kwa ufanisi, na kutumia mitandao ya kijamii kuvutia wateja wengi zaidi. Pata mbinu rahisi na za vitendo zitakazokusaidia kuboresha biashara yako, kuongeza kipato na kujenga biashara imara inayokua kila siku.
Anza sasa! Kujifunza mbinu mpya na zitumie kukuza biashara yako na kuongeza mauzo

Jinsi ya Kupata Wateja na Downline kwenye Network Marketing Tanzania

Jinsi ya Kupata Wateja na Downline kwenye Network Marketing Tanzania Mfumo wa kukusaidia kuwafikia watu sahihi, kupata wateja na downline katika biashara yako ya Network Marketing mtandaoni. Chart with US Call us Downlood eBOOK bure Mfumo wa Kupata Downline na wateja wa bidhaa kwenye Biashara yako ya Network Marketing Jinsi

Read More »

Kitabu cha Ulimi Unovuta

ULIMI UNAOVUTA Mbinu za kuandika ujumbe unaovuta umakini, unaojenga uaminifu na kuwageuza wasomaji kuwa wateja. Chart with US Call us Download Free eBOOK Kuna kitu kimoja kinachoweza kuwa kinakuzuia kupata wateja wengi Mtandaoni Siyo bei ya bidhaa au huduma yako. Siyo uzuri wa bidhaa au huduma yako. Na siyo kwamba

Read More »

Kutoka Kwenye Wazo la Kawaida Hadi Headline Inayouza

Kuhusu Mimi (About Me) Hapa kuna makala mbali mbali zilizo jikita katika nyanja mbali mbalimbali za kidigitali, ikiwa ni pamoja na ujuzi wa copy writting, Network marketing, Digital marketing, Automation, Matumizi ya Ai katika biashara yako, ujuzi utakao kusaidia, kukuza biashara yako na kushuhudia matokeo makubwa (Mara tano zaid 5x)

Read More »

Kuelewa Saikolojia ya Meja

Kuhusu sisi (About US)  And the option of opacity slider as removed as removed, and this is the reason why you don’t find it in the elementor editor V4Each of gradient color as its own alpha transparency Chart Call us Table of Contents   Nilicho kiandika hapo chini nimekielezea kwa

Read More »

Maswali ambayo wateja wetu wanauliza mara kwa Mara

Hapa tumekujibu maswali muhimu kuhusu mafunzo, vitabu na huduma zetu ili kukusaidia kuelewa jinsi tunavyoweza kukusaidia kukuza biashara yako na kuongeza mauzo kupitia ujuzi wa kidigitali.
Tumejikita katika kuwasaidia watu na wafanyabiashara kutumia ujuzi wa kidigitali kukuza biashara zao, kupata wateja wengi na kuongeza mauzo. Huduma zetu kuu ni:
      1. Mafunzo ya ujuzi wa kidigitali: Kukufundisha mbinu za kutumia teknolojia na mitandao ya kijamii kukuza biashara yako.
      2. Mafunzo ya Network Marketing: Kukusaidia kupata wateja, kuongeza mauzo, kupata downline wapya na kujenga timu imara.
      3. Ushauri wa kukuza biashara: Kukusaidia kutumia Facebook, Instagram, WhatsApp na mitandao mingine kupata wateja na kuongeza mauzo.
      4. Usimamizi wa akaunti za mitandao ya kijamii: Kusimamia akaunti za biashara, kuandaa maudhui na kusaidia biashara kufikia wateja wengi zaidi.
      5. Utengenezaji wa matangazo ya kulipia (Meta Ads): Kusaidia biashara kutangaza bidhaa na huduma kwa watu wanaoweza kuwa wateja wao.
Lengo letu ni kukupa maarifa na huduma zinazokusaidia kufanya biashara kwa ufanisi zaidi.
Hapana! Tunatoa mafunzo mtandaoni ili uweze kujifunza popote ulipo.
Kwa wakazi wa Dar es Salaam, pia kuna nafasi ya kufika ofisini kwetu mara moja kwa wiki, kila Jumapili, kwa ajili ya kujifunza ana kwa ana, kuuliza maswali na kupata msaada zaidi.
Hapana! Tuna kozi za bure na kozi za kulipia.
Unaweza kuanza kujifunza ujuzi mbalimbali wa kidigitali bila malipo kupitia tovuti yetu.
Tembelea: www.joctanmotoka.com
na uchague mafunzo yanayokufaa.
Hapana! Tuna vitabu na miongozo ya bure ambayo unaweza kupakua (download) na kujifunza bila malipo.
Pia tuna vitabu vya kulipia vyenye maarifa na maelekezo ya kina yatakayokusaidia kutumia ujuzi wa kidigitali kukuza biashara yako.
Ukijiunga na timu yetu, utapata nafasi ya kujifunza, kukua na kushirikiana na watu wenye malengo yanayofanana na yako.
Utapata faida zifuatazo:
      • Punguzo la asilimia 80% kwenye kozi na vitabu vyetu.
      • Mafunzo na ushauri binafsi (mentorship) bila malipo.
      • Nafasi ya kukutana na network marketers wengine wanaotumia njia za kidigitali kukuza biashara zao.
      • Kushiriki uzoefu, kujifunza mbinu mpya na kupata msaada kutoka kwa timu.
      • Kujenga mahusiano na watu wanaoweza kukusaidia kukuza biashara yako.
Lengo ni kukusaidia usijifunze peke yako, bali uwe sehemu ya timu inayokua pamoja.
Hapana! Mafunzo yetu yanafaa kwa wanaoanza na wale ambao tayari wana biashara.
Tunatumia lugha rahisi na maelekezo ya hatua kwa hatua ili uweze kuelewa na kutumia unachojifunza hata kama hujawahi kufanya biashara mtandaoni.
Ndiyo! Mafunzo yetu yanafaa pia kwa mtu anayetaka kujifunza ujuzi wa kidigitali kwa ajili ya kujiajiri, kufanya kazi mtandaoni, kutoa huduma kwa biashara nyingine au kuanzisha biashara yake baadaye.
Unaweza kuanza na ujuzi mmoja, kuufanyia mazoezi na kuutumia kujenga nafasi mpya za kipato.
Utapata maarifa na ujuzi wa kutumia mitandao ya kijamii kutangaza biashara, kuvutia wateja, kuwasiliana nao na kuongeza nafasi ya kufanya mauzo.
Matokeo yako yatategemea juhudi, mazoezi na matumizi ya maarifa utakayojifunza. Tunakupa ujuzi na mwongozo, kisha unautumia kukuza biashara yako.
Ni rahisi! Tembelea tovuti yetu, chagua kozi au kitabu kinachokufaa, au wasiliana nasi ili upate maelezo zaidi kuhusu mafunzo na kujiunga na timu.
Anza leo kujifunza ujuzi wa kidigitali na chukua hatua ya kukuza biashara yako!
Tembelea Tovuti Yetu
Ndiyo! Unaweza kuanza kujifunza kwa kutumia simu yako ya mkononi. Huhitaji kuwa mtaalamu wa kompyuta ili kuanza mafunzo yetu.
Tunatoa maelekezo rahisi, hatua kwa hatua, hata kwa mtu ambaye hajawahi kutumia baadhi ya zana za kidigitali.
Hata hivyo, baadhi ya kazi, kama kutengeneza tovuti, kusimamia matangazo kwa undani na kutumia programu mbalimbali, ni rahisi zaidi kwa kutumia kompyuta.
Ushauri wetu: Anza na simu uliyonayo, lakini ikiwa una nafasi, ni vizuri kuwa na Laptop au Desktop ili uweze kufanya mazoezi kwa urahisi na kujifunza ujuzi mwingi zaidi.
Ndiyo! Unahitaji intaneti ili kufungua tovuti yetu, kuangalia mafunzo ya mtandaoni, kupakua vitabu na kufanya mazoezi

Jiunge na Social Media Groups Zetu

Kupata  Mafunzo, Miongozo na Taarifa Mbalimbali.  Zitakazo Kusaidia kubadilisha Biashara Yako, na Uchumi wako Kutoka hali ya kutumia nguvu na bidii na rasilimali fedha nyingi hadi kuhustle smart

Jifunze ujuzi kupitia akaunti yetu ya Youtube

Jifunze Network Marketing, Copywriting, Automation,Website designing, Sponsored Meta ads na ujuzi mwingine mwingi wa kidigital utakao kusaidia kukuza biashara yako mtandaoni

Jiunge na Timu Yetu ya Network Marketing

Utanufaika na nini ukijiunga na timu yetu

  • Utafundishwa Jinsi ya kupata downline kwa kutumia njia za kidigital
  • Utafundishwa jinsi ya kutengeneza na kutumia mfumo ya kidigital kuendesha biashara yako ya Network Marketing
  • Mifumo itakayo kupa uhuru wa muda hata kama wewe ni mfanyakazi wa serkali au unafanya biashara nyingine nje ya network Marketing, bado utaweza kumudu biashara na kufanikiwa
  • Utapatiwa miongozo ya video na vitabu vilivyo andaliwa kwa namuna rahisi ya kujifunza, Hivyo unaweza kujifunza wakati wowote au maali popote kwa ratiba yako mwenyewe
  • Utapatiwa mentorship kwa ukaribu zaidi hadi ili kukuwezesha kujenga uwezo wa kujitegemea

Tupo tayari kufanya kazi na wewe, Kusaidia biashara yako, kufikia malengo unayo yatamani kupitia ujuzi na mbinu za kidigitali

Usipitwe na fursa ya kuibadilisha biashara yako! 
Jifunze mbinu sahihi za kuwafikia wateja sahihi, kuongeza mauzo na kukuza biashara yako kupitia ujuzi wa kisasa wa kidijitali.
Na kama huna muda au hupendi kujifunza, tunaweza kufanya kwa niaba yako kwa kutumia mbinu hizi ili kukusaidia kufikia matokeo bora zaidi.

Wasiliana Nasi SASA

    Tembelea Ofisi Zetu

    Scroll to Top